Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Usumbufu mikopo kausha damu kupatiwa ufumbuzi

Usumbufu mikopo kausha damu kupatiwa ufumbuzi

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameondoa usumbufu ambao wananchi wamekuwa wakiupata kutokana na mikopo ya…
Tarura yatakiwa kufikia 85% ya barabara za lami

Tarura yatakiwa kufikia 85% ya barabara za lami

WAKALA wa Barabara Vijijini na Mijini wametakiwa kusaka vyanzo vipya vya fedha kwa ajili ya miradi ya barabara za lami…
SADC yathibitisha maabara 4 TBS

SADC yathibitisha maabara 4 TBS

TAASISI ya Ithibati ya Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADCAS) imethibitisha na kuzipatia vyeti vya umahiri maabara nane…
Sh tril. 11 kutekeleza miradi Kigoma

Sh tril. 11 kutekeleza miradi Kigoma

KIGOMA: SERIKALI imepeleka sh trilioni 11.4 mkoani Kigoma tangu serikali ya awamu ya sita ya Rais  Samia Suluhu Hassan iingie madarakani.…
Kuadimika kwa sukari, 26 mbaroni

Kuadimika kwa sukari, 26 mbaroni

BODI ya Sukari imewakamata wafanyabiashara 26 katika mikoa ya Tabora na Arusha kutokana na kupandisha bei ya sukari kiholela. Bodi…
Stamico yatakiwa kujikita kwenye umeme

Stamico yatakiwa kujikita kwenye umeme

WAZIRI wa Madini,Anthony Mavunde amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kujikita katika kusaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika kupitia…
Bashe ataja sababu upungufu wa sukari,tani100,000 zaagizwa

Bashe ataja sababu upungufu wa sukari,tani100,000 zaagizwa

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa…
Wadakwa kwa pesa bandia

Wadakwa kwa pesa bandia

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu wanne wakiwa na noti za bandia zenye thamani ya sh milioni 1.5…
TIC: Changamkieni fursa za uwekezaji

TIC: Changamkieni fursa za uwekezaji

ARUSHA;  Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kimewataka wawekezaji wazawa pamoja na wageni kuchangamkia fursa za uwekezaji zitakazowezesha vijana kupata ajira. Hayo…
Matunda maboresho ya bandari yaanza kuvunwa

Matunda maboresho ya bandari yaanza kuvunwa

DAR ES SALAAM:MABORESHO ya bandari yaliyofanywa na Serikali nchini yamefanikisha kutua kwa meli kubwa ya utalii ya Norwegian Dawn yenye…
Back to top button