Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wateja CRDB wajizolea zawadi

Wateja CRDB wajizolea zawadi

Wateja zaidi ya 500 wa wa Benki ya CRDB wamefanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha ,magari, compyuta ,simu janja na…
Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani katika sekta ya kilimo kutumia teknolojia za kisasa…
BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

DAR ES SALAAM: BENKI Kuu  ya Tanzania (BOT) imezindua rasmi mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha nje ya mfumo…
Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya oparesheni…
Umeme maporomoko Rusumo wafikia asilimia 99.9

Umeme maporomoko Rusumo wafikia asilimia 99.9

MWANZA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo…
Samia awapa CTI mbinu ya ushindi

Samia awapa CTI mbinu ya ushindi

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wazalishaji wa bidhaa kupitia Shirikisho la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kuendelea kuimarisha…
Mchengerwa atoa maagizo ujenzi wa soko Bukoba

Mchengerwa atoa maagizo ujenzi wa soko Bukoba

KAGERA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametoa maagizo kwa…
TACRI yajivunia utafiti zao la kahawa Kagera

TACRI yajivunia utafiti zao la kahawa Kagera

KAGERA: Taasisi ya utafiti wa zao la kahawa TACRI Kanda ya Kagera imeanza kujivunia mafanikio ya utafiti uliofanyika mwaka 2004…
“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni wa kizamani”

“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni wa kizamani”

DODOMA: WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani badala yake watumie mabenki kuhifadhi…
Randin: Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa SDC azuru Tanzania

Randin: Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa SDC azuru Tanzania

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi na Mkuu wa Kitengo cha Kusini mwa Jangwa la Sahara wa Shirika la Maendeleo na Ushirikiano la…
Back to top button