Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Waajiri watajwa, kukwama kwa baadhi ya mipango NSSF

Waajiri watajwa, kukwama kwa baadhi ya mipango NSSF

DAR ES SALAAM: UKIUKWAJI wa taratibu na kanuni za usajili wa wanachama na uwasilishaji wa michango yao kutoka kwa waajiri…
Dk. Biteko aagiza matumizi sahihi ya fedha za Serikali

Dk. Biteko aagiza matumizi sahihi ya fedha za Serikali

GEITA, Bukombe: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka watendaji na watumishi nchini kusimamia matumizi sahihi…
Chalamila: Wafanyabishara zingatieni sheria za kulipa kodi

Chalamila: Wafanyabishara zingatieni sheria za kulipa kodi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kuheshimu sheria za ulipaji kodi kwa…
Mbaazi tani 671 zauzwa kwa mnada

Mbaazi tani 671 zauzwa kwa mnada

MTWARA; Nanyumbu. CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Masasi, Mtwara na Nanyumbu (MAMCU LTD) kimeuza mbaazi tani 671 zenye…
TRA yataka kukusanya Sh bilioni 69

TRA yataka kukusanya Sh bilioni 69

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Morogoro imewekewa lengo la kukusanya Sh bilioni 69.63 kwa mwaka wa fedha wa…
TTCL wawazia makubwa Mkongo wa Taifa

TTCL wawazia makubwa Mkongo wa Taifa

DAR ES SALAAM; Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limejipanga kufanya upanuzi wa mkongo wa Taifa iliĀ  kuongeza mawasilino hadi upande…
Afrika ina utajiri wa urani inayokidhi mahitaji ya kinishati yanayozidi kuongezeka duniani

Afrika ina utajiri wa urani inayokidhi mahitaji ya kinishati yanayozidi kuongezeka duniani

Tanzania ni eneo linalotoa matumaini katika shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini ya urani kutokana na jiolojia yake nzuri.…
Samia ahamasisha Uwekezaji

Samia ahamasisha Uwekezaji

PWANI: Rais Samia Suluhu Hassan, amesema milango ipo wazi kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza Tanzania katika harakati za kuendelea kukuza uchumi…
Upepo baharini wapandisha bei ya samaki

Upepo baharini wapandisha bei ya samaki

DAR ES SALAAM: UpatikanajiĀ  wa samaki katika Soko la Kimataifa la Samaki Feri Dar es Salaam sio wa kuridhisha kutokana…
Sheria kali zahitajika kulinda viumbe wa majini

Sheria kali zahitajika kulinda viumbe wa majini

DAR ES SALAAM: Sheria kali inapaswa kuwekwa ili kuzuia uvuvi wa viumbe vya majini ambavyo vipo kwenye hatari ya kupotea…
Back to top button