Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Wanahisa Yetu Microfinance Plc waunda kamati kufuatilia hisa
June 18, 2023
Wanahisa Yetu Microfinance Plc waunda kamati kufuatilia hisa
WANAHISA katika Benki ya Yetu Microfinance Plc wameamua kuunda kamati kwa ajili ya kufuatilia hatima ya hisa zao kutokana na…
Morogoro kuwekwa mazingira wezeshi uwekezaji
June 17, 2023
Morogoro kuwekwa mazingira wezeshi uwekezaji
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewataka wadau wa sekta ya biashara na uchumi kushikamana katika kuweka mazingira wezeshi…
Wanasiasa, wachumi Zanzibar wasifu bajeti
June 17, 2023
Wanasiasa, wachumi Zanzibar wasifu bajeti
WANASIASA na wachumi wa sekta ya fedha zikiwemo benki, wameipongeza bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambayo inakwenda…
BoT kuhuisha Mfuko wa Dhamana uuzaji bidhaa nje
June 17, 2023
BoT kuhuisha Mfuko wa Dhamana uuzaji bidhaa nje
WIZARA ya Fedha na Mipango imesema serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itahuisha Mfuko wa Dhamana kwa wakopaji wanaozalisha…
Zimbabwe kusitisha mikopo fedha za kigeni
June 16, 2023
Zimbabwe kusitisha mikopo fedha za kigeni
RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ameamuru Benki Kuu nchini humo kusitisha kukopa fedha za kigeni kutoka vyanzo vya nje, hatua…
Pato la kila mtanzania ni sh milioni 2.8 kwa mwaka
June 16, 2023
Pato la kila mtanzania ni sh milioni 2.8 kwa mwaka
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa pato la Taifa kwa mtu kwa maana kila mtanzania kwa…
Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu
June 16, 2023
Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu
SERIKALI imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.…
Ushuru wa Shisha, Sigara wapaa
June 16, 2023
Ushuru wa Shisha, Sigara wapaa
SERIKALI imekusudia kutoza ushuru wa bidhaa ya Sigara na Shisha kwa asilimia 30. Katika bajeti ya serikali iliyowasilishwa jana na…
Tozo miamala ya simu kufutwa
June 16, 2023
Tozo miamala ya simu kufutwa
SERIKALI imekusudia kufuta tozo kwa siku kwa kila laini ya simuk kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili…
Bajeti ya Rwanda yafikia sh trilioni 9.5
June 15, 2023
Bajeti ya Rwanda yafikia sh trilioni 9.5
SERIKALI ya Rwanda inakusudia kukusanya na kutumia kiasi cha faranga za Rwanda trilioni 5.03 (TSh trilioni 9.5) katika mwaka wa…