Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ushirikiano wachimbaji madini kuimarisha soko

WACHIMBAJI wa madini mkoani Kigoma wametakiwa kuunda umoja na ushirikiano na wachimbaji na wanunuzi wa madini kutoka nchi za ukanda…

Soma Zaidi »

Ufafanuzi mgawanyo fedha uchimbaji madini

DOLA milioni 100 zinatumika kwenye uchimbaji mkubwa wa madini huku Dola milioni 10 mpaka Dola milioni 99 ni uchimbaji wa…

Soma Zaidi »

Mgogoro mgodi Simanjiro waingia sura mpya

SAKATA la mgogoro wa mgodi wa Gem & Rock Venture uliopo Kitalu B katika Madini ya Tanzanite Mirerani wilayani Simanjiro…

Soma Zaidi »

‘Tumieni vituo vya umahiri kutoa mafunzo kwa wachimbaji’

WIZARA ya Madini imeendelea kutumia vituo vya umahiri kutoa elimu na mafunzo ya kisasa kwa wachimbaji wadogo. Miongoni mwa mafunzo…

Soma Zaidi »

Ataka ufafiti maeneo mengine ya madini

NAIBU Katibu  Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo  ametoa wito kwa  Kampuni ya Stamigold kupitia Mgodi wa Biharamulo Mine,  kushirikiana…

Soma Zaidi »

Biashara ya madini yazidi kupaisha mapato

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Yahya Samamba amesema kuanzia kipindi cha Julai 2022 hadi Machi, mwaka huu, biashara ya…

Soma Zaidi »

Taasisi za fedha zawageukia wachimba madini

KATIKA kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa mitaji kwa wachimbaji wadogo wa madini taasisi za fedha zimeshauri kuundwa kikosi kazi…

Soma Zaidi »

Wadau kujadili changamoto wachimbaji wadogo madini

ZAIDI ya wadau 700 wa madini, viwanda na taasisi za kifedha kesho wanatarajiwa kushiriki mkutano wa kwanza jijini Dar es…

Soma Zaidi »

Stamico yasaini mkataba mnono na GGML

KAMPUNI ya Madini ya Taifa (STAMICO), imesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh bilioni 55. 2 na Kampuni…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini watakiwa waache kulalamika

WAZIRI wa Madini Dk Dotto Biteko, amewataka wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini nchini kuacha kulalamika badala yake wawajibike kuzingatia…

Soma Zaidi »
Back to top button