Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Nyumba 339 zajengwa waliopisha ujenzi bomba la mafuta

TANGA; Muheza. Jumla ya nyumba 339 zimejengwa kwa ajili ya makazi ya kudumu kwa wanufaika waliopisha maeneo yao kwa ajili…

Soma Zaidi »

Serikali imeweka nguvu uchumi wa madini

SERIKALI imedhamiria kusimamia sheria ili kuhakikisha Watanzania wengi zaidi wanashiriki kwenye uchumi wa madini kupitia usambazaji wa bidhaa na kutoa…

Soma Zaidi »

Kampuni uchimbaji madini yatoa ajira 1,000 makundi maalum

WATU 1000 walioko katika makundi ya watu wenye ulemavu, akina mama ,vijana na wazee wamepata ajira isiyo rasmi katika Kampuni…

Soma Zaidi »

TPDC wapewa mikakati kuongeza gesi asilia

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Mavunde aguswa na kilio cha wachimbaji wadogo

MANYARA: SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesema inatambua changamoto mbalimbali zinazowakabili wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wilayani Simanjiro mkoani…

Soma Zaidi »

Biteko aagiza Ofisa uhusiano TPDC kuondolewa

MTWARA; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amemuagiza Mkurungenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli…

Soma Zaidi »

Serikali: Iuzieni dhahabu BoT

GEITA: NAIBU Waziri wa Madini, Dk Stephen Kiruswa ameitaka kampuni ya mgodi wa Bucreef Gold Company (BGC) kuangalia uwezekano wa…

Soma Zaidi »

Mambo safi mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda

TANGA: Kamati ya Kudumu ya bunge ya Nishati na madini imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini watakiwa kutunza mazingira

MKUU  wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Joseph Mkude amewataka Wananchi wanaofanya shughuli  za kibinadamu na uchimbaji wa madini kwenye…

Soma Zaidi »

Mbunge awavuta wafanyabishara sekta ya madini

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salimu Hasham amewavuta wafanyabiashara  kuwekeza katika sekta ya madini ya Spinel yanayochimbwa katika…

Soma Zaidi »
Back to top button