Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Prof. Janabi aingilia usajili Simba, Yanga

DAR ES SALAAM: MKURUGEZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na…

Soma Zaidi »

Lusajo, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu

DAR ES SALAAM;MSHAMBULIAJI wa timu ya Mashujaa ya Kigoma, Reliants Lusajo ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi…

Soma Zaidi »

Hersi: Sikupenda tufike penalti

ZANZIBAR; RAIS wa klabu ya Yanga, Hersi Said amesema hakupenda kuona fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Azam na…

Soma Zaidi »

Gamondi amaliza mkataba, aaga mashabiki

ZANZIBAR; MKATABA wa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi kuinoa timu hiyo umemalizika, huku akisema hatarajii kuendelea kuwepo klabuni hapo.…

Soma Zaidi »

Yanga mwendo wa ubingwa tu!

ZANZIBAR: Yanga imetetea ubingwa wake wa Kombe la Shirikisho kwa mara ya tatu mfulizo baada ya kuibuka na ushindi wa…

Soma Zaidi »

NBC, wadau waendesha kliniki ya michezo kwa watoto

DAR ES SALAAM: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premiere…

Soma Zaidi »

Ishu ya pambano la Mwakinyo kuyeyuka ipo hivi

DAR ES SALAAM: Mashabiki wa Masumbwi usiku wa kuamkia leo wamebaki njiapanda baada ya pambano la Bondia Hassan Mwakinyo na…

Soma Zaidi »

Miaka 30 tangu afariki, Maneti bado ‘anaishi’

LEO Mei 31, 2024, ikiwa imetimia miaka 34 tangu alipofariki gwiji wa muziki Tanzania na mwimbaji mashuhuri Hemed Maneti Ulaya…

Soma Zaidi »

DAS Same awapa somo wanafunzi Umiseta

KILIMANJARO: KATIBU Tawala wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Upendo Wella amewataka wanafunzi wa wilaya hiyo watakoshiiriki mashindano ya UMISETA…

Soma Zaidi »

Chama, Yanga ndoto za Abunuwasi

DAR ES SALAAM: KITENDAWILI cha hatma wa kiungo wa Klabu ya Simba, Clatous Chama kimeteguliwa baada ya nyota huyo kuongeza…

Soma Zaidi »
Back to top button