Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mabadiliko Simba yamtesa Mo

RAIS wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji amesema anakaribia kukata tamaa kwenye mchakato wa mabadiliko wa klabu…

Soma Zaidi »

Simba yashusha kifaa kutoka Cameroon

Simba SC imetangaza kumsajili beki wa Kimataifa wa Cameroon, Che Fondoh Malone (24) kutokea klabu ya Cotton Sport ya nchini…

Soma Zaidi »

Wajerumani, Watanzania wang’ara Great Ruaha Marathon

Kukimbia ni mchezo rahisi ni sanaa ya kuweka mguu mmoja mbele ya mwingine kwa kasi zaidi kuliko washindani wengine iliyotumiwa…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam ni kisasi tena

TIMU ya Yanga itacheza mchezo wa kwanza wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, Agosti 9, 2023 kwenye Uwanja…

Soma Zaidi »

Man United yaagana na De Gea

NDOA ya Manchester United na David De Gea imefikia mwisho leo, baada ya Mhispania huyo kupewa ‘kwaheri’ na klabu hiyo.…

Soma Zaidi »

Simba yampeleka Onyanga Singida FG

Simba SC imethibitisha kumtoa kwa mkopo beki Joash Onyango (30) kwenda Singida Fountain Gate FC. Uongozi wa Simba SC umetoa…

Soma Zaidi »

Ratiba kombe la shirikisho hii hapa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya michezo ya Ngao ya Jamii itakayochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga…

Soma Zaidi »

Dirisha la usajili lipo kwa Simba, Yanga na Azam pekee?

WIKI moja imepita tangu dirisha la usajili kwa timu za madaraja ya Ligi Kuu, Championship, Daraja la Kwanza na Ligi…

Soma Zaidi »

Kocha alivyomficha Fabregas Barca wasimuone

SI ulishawahi kuusikia ule msemo wa Waswahili unaosema mbaya wako hatoki mbali, ndio ambao ulimtokea kiungo fundi raia wa Hispania,…

Soma Zaidi »

“Visa vikali vya kusisimua”

ANAUJUA ubora wake hasa katika suala la uandishi wa visa vikali vya kusisimua. Kupitia maandishi yake ameweza kutengeneza mashabiki lukuki…

Soma Zaidi »
Back to top button