Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ligi Kuu Bara kutimua vumbi Agosti 15

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa Kalenda ya Matukio ya msimu mzima wa 2023/24 inayoyasimamia ikionesha msimu mpya…

Soma Zaidi »

Yanga yamnasa winga kutoka Congo DR

KLABU ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema. Nyota huyo raia wa Congo DR…

Soma Zaidi »

Mbunge kuwapa raha wasanii Nsimbo

MBUNGE wa Jimbo la Nsimbo, Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Anna Lupembe amedhamiria kuwaunganisha wasanii wa muziki wa kizazi…

Soma Zaidi »

Vipindi vya Ubongo vyafikia familia mil 32

KAMPUNI ya uzalishaji vipindi vya elimu burudani ya Ubongo iliyoanzia nchini imetimiza miaka kumi huku ikifikia familia milioni 32 Afrika.…

Soma Zaidi »

TASWA, IPRT wakubaliana kunoa wachambuzi, wasemaji

CHAMA cha Waandishi wa Michezo Tanzania (TASWA) na Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania (IPRT), wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Simba yawasili Uturuki

KIKOSI cha Simba SC kiwewasili nchini Uturuki kwa ajaili ya maandalizi ya msimu mpya. Simba imetoa taarifa za kuwasili nchini…

Soma Zaidi »

Mo yupo sana -Try Again

MASHABIKI wa Simba wamepewa taarifa njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try again’ kuwa mwekezaji Mohammed…

Soma Zaidi »

“Wachezaji Simba wajitume”

PESA inauma sana, hasa unapoona inaenda bure wakati mtoaji alitarajia ingerudi kwa namna alivyoamua kuwekeza kwenye biashara fulani. Suala hilo…

Soma Zaidi »

“Mchezaji mkubwa Simba anakuja”

MASHABIKI wa Simba wanapaswa kukaa mkao wa kula wakisubiri utambulisho wa mchezaji mkubwa anayetoka kwenye klabu kubwa barani Afrika. Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

Okocha ateuliwa waziri wa michezo

MCHEZAJI wa zamani wa Nigeria na klabu kadhaa barani Ulaya, Augustine Okocha ‘Jay Jay’ ,46, ameteuliwa kuwa Waziri wa Michezo,…

Soma Zaidi »
Back to top button