Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kocha alivyomficha Fabregas Barca wasimuone

SI ulishawahi kuusikia ule msemo wa Waswahili unaosema mbaya wako hatoki mbali, ndio ambao ulimtokea kiungo fundi raia wa Hispania,…

Soma Zaidi »

“Visa vikali vya kusisimua”

ANAUJUA ubora wake hasa katika suala la uandishi wa visa vikali vya kusisimua. Kupitia maandishi yake ameweza kutengeneza mashabiki lukuki…

Soma Zaidi »

Pulisic aula Milan

MSHAMBULIAJI Christian Pulisic amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na AC Milan akitokea Chelsea. Milan watalipa ada kiasi cha €20M. Mmarekani…

Soma Zaidi »

Onyango atua Singida Fountain Gate

BEKI Joash Onyango amejiunga na Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba SC. Awali taarifa zilieleza Simba…

Soma Zaidi »

 Kramo wa Asec Mimosas atua Simba

KLABU ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Aubin Kramo kutoka Asec Mimosas kwa mkataba wa miaka miwili. – Kramo…

Soma Zaidi »

Singida Fountain Gate sasa kambi Arusha

TIMU ya Singida Fountan Gate imeamua kubadili uamuzi wa kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…

Soma Zaidi »

Yanga, Mayele bado wavutana

HATIMA ya mchezaji, Fiston Mayele kuondoka au kuendelea kuitumikia Yanga msimu ujao inatarajiwa kujulikana Jumatatu ijayo. Kiwango kilichooneshwa na Mayele…

Soma Zaidi »

Dk Kikwete banda la TRA sabasaba

RaIS mstaafu, Dk Jakaya Kikwete akiagana na ofisa msaidizi msamimizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Shaga Gagunda.…

Soma Zaidi »

Yanga, Nyasa BB hakuna mnyonge

MCHEZO wa kirafiki wa kusherehesha Siku ya Uhuru nchini Malawi kati ya Yanga SC na Nyasa Big Bullet umemalizika kwa…

Soma Zaidi »

Chelsea yathibitisha Cesar kuondoka

CHELSEA imetoa taarifa kuwa nahodha wao, Cesar Azpilicueta amechagua kuondoka klabuni hapo baada ya takribani miaka 11 darajani. Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi »
Back to top button