Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Saliba yupo sana Arsenal

BEKI wa Arsenal, William Saliba ameongeza mkataba wa miaka minne wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Kwa mujibu wa mwandishi wa…

Soma Zaidi »

Simba yapata kocha wa viungo

SIMBA inaendelea kuliweka imara benchi lao la ufundi baada ya kumtangaza Corneille Hategekimana kuwa kocha wa viungo. Kocha huyo raia…

Soma Zaidi »

 Xhaka atimka Arsenal

KIUNGO Granit Xhaka amejiunga na Bayer Leverkusen kwa mkataba wa miaka mitano akitokea Arsenal. Xhaka ametuwa kwa wajerumani hao kwa…

Soma Zaidi »

Cadena kocha wa makipa Simba

UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano kumuajiri Daniel Cadena kuwa kocha wa makipa kwa mkataba wa miaka miwili. Cadena (45) amejiunga…

Soma Zaidi »

Majaliwa kubariki Maendeleo Bank Marathon

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za  Maendeleo Bank Marathon zitakazofanyika  Septemba 2, 2023. Meneja Miradi…

Soma Zaidi »

Azam yapata kocha msaidizi

AZAM FC imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha msaidizi Bruno Ferry. “Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa…

Soma Zaidi »

Simba yamtambulisha Onana kutoka Rwanda

KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa mshambuliaji, Willy Essomba Onana, 23, raia wa Cameroon akitokea Rayon Sports ya Rwanda. Onana…

Soma Zaidi »

United yamtangaza Mount

Klabu ya Manchester United ‘The Red Devil’ imemtangaza kiungo mshambuliaji Mason Mount kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo akitokea Chelsea…

Soma Zaidi »

Tetesi za usajili Ulaya

‘FOOTBALL Insider’ imeripoti Manchester City wanataka £50m ili kumuachia kiungo Bernado Silva. Andre Onana amekataa ofa kutoka Saudia na inaonekana…

Soma Zaidi »

Firmino atimkia Uarabuni

MSHAMBULIAJI Roberto Firmino amejiunga na Al-Ahli ya Saudia Pro League kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Liverpool. Mbrazil huyo, 31,…

Soma Zaidi »
Back to top button