Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Man City yaingia kwenye rada za Arsenal

KLABU ya Manchester City imewasilisha ofa yake ya kumtaka kiungo wa West Ham United Declain Rice. Mancity wameripotiwa kuwasilisha dau…

Soma Zaidi »

Gundogan kuongoza 4-3-3 ya Xavi

BARCELONA imekamilisha usajili wa kiungo Ilkay Gundogan kutoka Manchester City. Kwa mujibu wa wachambuzi mbalimbali kuhusu usajili huo, Gundogan ana…

Soma Zaidi »

Kikwete akerwa wingi wachezaji wa kigeni

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amekerwa na wachezaji wa kigeni kutawala soka la Tanzania na kuishauri Serikali…

Soma Zaidi »

Tetesi za usajili Ulaya

Manchester City wamewasilisha dau la Euro 90m (£77m) kwa Josko Gvardiol wa RB Leipzig, 21, huku beki huyo wa Croatia…

Soma Zaidi »

Yanga yapata faida Sh milioni 500

KLABU ya Yanga imetangaza kuingiza faida ya Sh milioni 500 katika msimu ulioisha Juni 2022/2023. Yanga imetangaza faida hiyo kupitia…

Soma Zaidi »

Gamondi kocha mpya Yanga

KLABU ya Yanga imemtangaza Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Nasreddine Nabi. Yanga imetangaza kocha…

Soma Zaidi »

Wadau waitwa kuwekeza kwenye netiboli

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Pindi Chana, amewakaribisha wadau na wapenda michezo wa sekta binafsi wa ndani na…

Soma Zaidi »

Akaminko aongeza mkataba Azam

Azam FC wametangaza kiungo wao James Akaminko ameongeza mkataba wa utakaomuweka klabuni hapo hadi 2026. “Bado yupo yupo sana kwenye…

Soma Zaidi »

Simba, Mkude wafikia mwisho

BAADA ya miaka 13 Simba SC imeagana na kiungo Jonas Mkude. Simba imetangaza kuachana na Mkude kupitia kurasa zao za…

Soma Zaidi »

Madee aacha mziki

RAPA wa Bongo Fleva, Ahmadi Ali ‘Madee’ ametangaza kuacha kuimba muziki. Mkongwe huyo aliyetamba na wimbo wa Pombe Yangu mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button