Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Nyoni naye kwaheri Simba

KLABU ya soka ya Simba imetangaza kufikia mwisho wa mkataba na kiungo kiraka wake Erasto Edward Nyoni aliyehudumu klabuni hapo…

Soma Zaidi »

Simba waachana na Kakolanya

KLABU ya Simba imetangaza kuachana na mlinda lango wake Beno Kakolanya mara baada ya kumalizika kwa mkataba wake. Kwenye taarifa…

Soma Zaidi »

Dr Dre kupewa tuzo

NGULI wa  muziki wa hip Hop nchini Marekani, Dr Dre anatarajia kupokea tuzo ya ‘ASCAP Hip Hop Icon’  kutokana na…

Soma Zaidi »

Gundo atimkia Barca

BARCELONA imeshinda vita dhidi ya Arsenal kwa kumsajili kiungo Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka miwili. Gundogan anajiunga na Barca…

Soma Zaidi »

Arsenal yampandia dau Havertz

ARSENAL imeongeza dau hadi kufikia pauni milioni 60 wakitaka huduma ya kiungo Kai Havertz kutoka Chelsea. Mjerumani huyo ameonesha nia…

Soma Zaidi »

Koulibaly kimeeleweka Saudia

MUDA wowote kuanzia sasa beki wa Chelsea, Kalidou Koulibaly atajiunga na Al Hilal ya Saudia Arabia. Taarifa iliyochapishwa muda huu…

Soma Zaidi »

Arsenal kupeleka dau la tatu kwa Rice

ARSENAL inajiandaa kuwasilisha ofa ya tatu kwa West Ham United baada ya mbili kukataliwa kuhusu usajili wa Declan Rice. Mtandao…

Soma Zaidi »

Chelsea inauza tu, Ziyech huyo Saudia

CHELSEA inaendelea kupangua kikosi chao baada ya taarifa kuwa kiungo Hakim Ziyech anakaribia kujiunga na Al Nassr ya Saudia Arabia…

Soma Zaidi »

Mendy kutua Al Ahli

WAARABU wanaendelea kutikisa dunia ya soka baada ya kipa Edouard Mendy kukaribia kujiunga na Al Ahli ya Saudia Arabia. Taarifa…

Soma Zaidi »

Nkunku asaini miaka sita Chelsea

Chelsea imekamilisha usajili wa Christopher Nkunku kutoka RB Leipzig kwa mkataba wa miaka sita. Chelsea imemsajili mshambuliaji huyo kwa dau…

Soma Zaidi »
Back to top button