Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Yanga waachana na Kisinda

“Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje…

Soma Zaidi »

Karata muhimu Stars leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo inashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Niger katika mchezo wa Kundi F…

Soma Zaidi »

Morris afikia tamati Azam

MATAJIRI wa Chamazi Azam FC wametangaza kufikia ukomo na Kocha wake msaidizi Agrey Moris Ambros aliyehudumu klabuni hapo tangu 2009…

Soma Zaidi »

Simba ijayo haitaki lawama na mtu

MWENYEKITI wa Bodi ya klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try again’ amesema wamejipanga kutengeneza Simba bora zaidi kuelekea msimu wa…

Soma Zaidi »

Simba yasaini mkataba utengenezaji jezi

KLABU ya Simba wameingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh bilioni 2 kwa kila mwaka na kampuni ya…

Soma Zaidi »

Kurasa za mwisho za De Gea Manchester United

MLINDALANGO wa Manchester United, David de Gea anatarajiwa kuondoka ndani ya timu hiyo mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa mwezi Juni…

Soma Zaidi »

Belligham kwanini jezi namba 5 Madrid?

USAJILI mpya wa Real Madrid kiungo wa kimataifa wa England Jude Belligham ameeleza sababu ya kuichagua jezi namba 5 huko…

Soma Zaidi »

Saliba uhakika mkataba mpya

MKAKATI wa Arsenal kuendelea kuwapa mikataba mipya baadhi ya nyota wao unaendelea, baada ya kuripotiwa beki William Saliba anakaribia kuongeza…

Soma Zaidi »

Infantino akutana na Vini Jr, atoa maagizo ubaguzi

“Hatuwezi kuvumilia” hatua lazima zichukuliwe dhidi ya vitendo vya ubaguzi kwenye soka, na waamuzi wote lazima wasimamishe mchezo vitendo hivyo…

Soma Zaidi »

Arsenal watoa £100m kwa Rice

BAADA ya ofa ya pauni milioni 80 kukataliwa, Arsenal imeongeza dau hadi kufikia pauni milioni 100 kwa kiungo Declan Rice…

Soma Zaidi »
Back to top button