Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Arsenal, Kavertz mambo yaanza kunoga

UWEZEKANO wa Arsenal kuinasa saini ya kiungo Kai Havertz kutoka kwa mahasimu wao Chelsea unazidi kuwapa matumaini baada ya makubaliano…

Soma Zaidi »

Chelsea wamuamulia Caicedo

KITENDO cha Arsenal kuhamishia nguvu kwenye usajili wa Moises Caicedo kutoka Brighton, kimewapa nguvu Chelsea kuanza harakati za kumng’oa kiungo…

Soma Zaidi »

Adolph Mbinga afariki dunia

MPIGA solo mahiri nchini Adolph Mbinga amefariki dunia. Kwa mujibu wa mwanamuziki Mwinjuma Muumin aliyewahi kufanya kazi na na Mbinga…

Soma Zaidi »

Bacca Kitasa cha makombe bara na visiwani

KAMA ulidhani upo kwenye kilele cha mafanikio basi embu mfikirie kwanza Mlinzi wa kati wa Yanga Ibrahim Hamad ‘Bacca’, moja…

Soma Zaidi »

Kumekucha Chamazi fagio la chuma linaendelea kupita

MATAJIRI wa kusini mwa Dar es Salaam Azam Fc wameendelea na maboresho kwenye kikosi chao baada ya mapema leo kutangaza…

Soma Zaidi »

Maandalizi Great Ruaha Marathon Yapamba Moto

MAANDALIZI kuelekea mbio za mwendo wa pole na haraka ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (Great Ruaha Marathon 2023)…

Soma Zaidi »

Mwelekeo wa Mbappe ni upi?

SWALI kubwa ambalo mpaka sasa halina majibu huko barani Ulaya ni kwamba wapi ataelekea mshambuliaji Kylian Mbappe kutoka Paris Saint…

Soma Zaidi »

Kane United? Spurs hawataki

UHAMISHO wa Harry Kane kwenda Man United huenda usifanikiwe baada ya Tottenham Spurs kuamua kutomuuza mshambuliaji huyo raia wa England.…

Soma Zaidi »

Arsenal yavunja benki usajili wa Rice

GAZETI la The Guardian nchini Uingereza limeripoti kuwa Arsenal inakaribia kumnasa kiungo, Declan Rice kwa dau la pauni milioni 100.…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam ni kisasi

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam, Yanga wanashuka dimbani kutetea taji lao kwa kuikabili Azam FC, mchezo wa…

Soma Zaidi »
Back to top button