Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Simba, Pamba hesabu tofauti

SIMBA itakuwa ugenini leo kuikabili Pamba Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tan zania Bara, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.…

Soma Zaidi »

Tamasha la filamu za Beijing Afrika lazinduliwa Dar

Msimu wa Matangazo ya Tamthiliya na Filamu za Televisheni za Beijing Afrika umefunguliwa rasmi Dar es Salaam, ukiongozwa na Idara…

Soma Zaidi »

Buriani King Kikii wa kitambaa cheupe

DAR-ES-SALAAM : WANAMUZIKI wakongwe wa Tanzania wanazidi kuaga dunia na kuacha ombwe kwenye muziki wa dansi wa asili, na leo…

Soma Zaidi »

Mfaume ataka pambano la Oscar, Tony lirudiwe

NAHODHA wa Nàccoz Gym, bondia wa ngumi za kulipwa Mfaume Mfaume ameomba pambano la Oscar Richard na Tony Rashid lirudiwe…

Soma Zaidi »

Mwanariadha Jeshi la Polisi avunja rekodi Uingereza

MWANARIADHA wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameshinda mbio za kilomita 10 za Fulham zilizofanyika Uingereza huku akivunja rekodi…

Soma Zaidi »

Taswa waipongeza Stars

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kaimu Kocha Mkuu…

Soma Zaidi »

Rais Samia aipongeza Stars, aipa mil 700/-

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza na kuipatia Timu ya Taifa ya Tanzania shilingi Milioni 700 kwa kufuzu fainali za…

Soma Zaidi »

P Didy avunja sheria za gereza

MAREKANI : WAENDESHA mashtaka nchini Marekani wamesema nguli wa miondoko ya muziki wa  Rap na mtayarishaji wa muziki Sean Diddy…

Soma Zaidi »

Hatma Taifa Stars kufuzu AFCON leo

NI ushindi pekee utakaoiwezesha timu ya taifa ya mpira wa miguu ‘Taifa Stars’ katika mchezo wa mwisho wa makundi kufuzu…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji miji 28 suluhu Tanga

MRADI wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika wilaya nne za mkoa wa Tanga unakwenda kumaliza kabisa changamoto ya ukosefu…

Soma Zaidi »
Back to top button