Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mwakinyo atamba kumpasua mtoto wa mtu

BONDIA Hassan Mwakinyo ametangaza ujio wa pambano lake Novemba 16, mwaka huu la kutetea mkanda wa Afrika wa WBO huku…

Soma Zaidi »

Diddy afunguliwa mashtaka mapya

MAREKANI : RAPA maarufu wa hip pop nchini Marekani Sean Diddy Combs anakabiliwa na mashataka mapya ya kuwadhalilisha  wavulana wawili…

Soma Zaidi »

Coastal vs Kagera: Patashika Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kufanyika Arusha na Mbeya. ‘Wagosi wa kaya’ Coastal Union itakuwa mwenye…

Soma Zaidi »

Utaratibu usajili Mwambao Marathon watajwa

WAANDAAJI wa mbio za TASWA Mwambao Marathon, wametoa utaratibu wa kujisajili kwa wanaotaka kushiriki mbio hizo zitakazofanyika Desemba 22, 2024…

Soma Zaidi »

Kwani Eric Ten Hag anatakaje?

ENGLAND: MENEJA wa Manchester United, Erik ten Hag amesema anahisi “sio haki na dhuluma” baada ya mwamuzi, David Coote wa…

Soma Zaidi »

Yanga pekee haijafungwa bao Ligi Kuu

  BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ni klabu pekee haijafungwa bao hadi sasa baada ya leo kushinda…

Soma Zaidi »

KMC yagoma kuswekwa magereza Mbeya

TIMU ya KMC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu…

Soma Zaidi »

De Bruyne kukipiga Ligi Kuu Marekani

KWA mujibu wa tetesi za usajili kiungo wa Manchester City, Kevin de Bruyne, 33, anaweza kuhamia Ligi Kuu ya Marekani(MLS)…

Soma Zaidi »

Coastal Union kuizuia Yanga Ligi Kuu leo?

MICHEZO mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara inafanyika viwanja tofauti leo. Bingwa mtetezi Yanga ipo mkoani Arusha ikiwa mgeni wa…

Soma Zaidi »

Real Madrid vs Barcelona: ‘El Clásico’ ya kibabe

MACHO na masikio ya wapenda soka duniani leo yanahamia Hispania ambako kunapigwa kipute kikali cha ‘El Clásico’ Ligi Kuu Hispania-LaLiga…

Soma Zaidi »
Back to top button