Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mamba: Wasanii tuelimishe jamii

MSANII wa muziki wa Singeli, Jumuiya Abdallah ‘Mamba Kisingeli’ amehimiza wasanii wenzake waimbe muziki kwa ajili ya kuelimisha jamii. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Simba Queens ya 3 Ngao ya Jamii

Soma Zaidi »

Patashika fainali Ngao ya Jamii wanawake

FAINALI ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga Princess na JKT Tanzania inapigwa leo Dar es Salaam. Mechi…

Soma Zaidi »

Ken Gold yakataa kwata la JKT Tanzania

WACHIMBA dhahabu wa Chunya mkoani Mbeya, Ken Gold leo imepata ushindi wa kwanza tangu kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara baada…

Soma Zaidi »

Miaka 60 Msondo Ngoma kufanyika Chang’ombe

TAMASHA la miaka 60 ya Msondo Ngoma Music Band Baba ya muziki wa Dansi linatarajia kufanyika Oktoba 26 mwaka huu…

Soma Zaidi »

PSG yaongoza mbio kumsajili Mohamed Salah

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema Paris Saint-Germain inaongoza mbio kumsajili fowadi wa Misri Mohamed Salah na itajaribu kumshawishi mchezaji…

Soma Zaidi »

Viwanja 3 kuwaka moto Ligi Kuu leo

BURUDANI kwa wapenda soka inaendelea leo kwa michezo 3 ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupigwa viwanja tofauti. Wanamsimbazi, Simba itaikaribisha…

Soma Zaidi »

Makocha Simba, Coastal wategana

WAKATI muda wa kipute cha Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Coastal Union ukikaribia, makocha wa timu hizo…

Soma Zaidi »

Miamba Ulaya yawania saini ya Florian Wirtz

TETESI za usajaili barani Ulaya zinasema Arsenal, Bayern Munich, Manchester City na Real Madrid zinashindania kumsajili kiungo mjerumani Florian Wirtz…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam dimbani viwanja tofauti Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi, huku leo viwanja vitatu vikitarajiwa kuwaka moto. Bingwa mtetezi Yanga itakuwa uwanja Azam…

Soma Zaidi »
Back to top button