Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Nandy kushindana na Alade, Tiwa AEAUSA

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) katika kipengele…

Soma Zaidi »

Barcelona yamsajili Wojciech Szczęsny

KLABU ya Barcelona na Wojciech Szczęsny wamefikia makubaliano golikipa huyo kujiunga na timu hiyo hadi Juni 30, 2025. Barcelona imetangaza…

Soma Zaidi »

Gamondi: Wanaojiuliza maswali watapata majibu

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema anaridhishwa na kiwango cha wachezaji wake inagawa kuna nyakati mambo hayaendi sawa lakini…

Soma Zaidi »

Mashtaka mapya yamkabili Diddy

MAREKANI : ZAIDI ya watu 100 wanatarajiwa kumshtaki mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na…

Soma Zaidi »

Kivumbi nusu fainali Ngao ya Jamii wanawake

NUSU fainali mbili za Ngao ya Jamii wanawake zinapigwa leo ikiwemo kati ya Simba Queens na Yanga Princess. Mechi hizo…

Soma Zaidi »

Simone Inzaghi ‘kumrithi’ Ten Hag

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema Manchester United ina nia kumuajiri kocha wa Inter, Simone Inzaghi iwapo klabu hiyo ya…

Soma Zaidi »

Tano zafuzu robo fainali kikapu Dar

TIMU tano za mpira wa kikapu zimefuzu hatua ya robo fainali Ligi ya mkoa wa Dar es Salaam baada ya…

Soma Zaidi »

Mbwana Samatta arejeshwa Stars

WACHEZAJI 23 wa kikosi cha timu ya taifa-Taifa Stars- wameitwa kuingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu fainali ya…

Soma Zaidi »

Arsenal vs PSG: Kibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya

BAADA ya mikikimikiki ya ligi mbalimbali, michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inarejea leo kwa michezo kadhaa.…

Soma Zaidi »

Fountain Gate mtihani Mbeya leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo maafande…

Soma Zaidi »
Back to top button