Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

JMK Park, ICARRe kuibua vipaji kikapu

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limeingia makubaliano ya miaka miwili na taasisi ya kijamii ya Marekani ya ICARRe…

Soma Zaidi »

Tanzania Kriketi yaitandika Lesotho

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Kriketi imeitandika Lesotho kwa mikimbio 122 mchezo wa hatua ya pili wa makundi wa…

Soma Zaidi »

Haaland afikisha mabao 100

BAO la Erling Haaland alilofunga jana limekuwa bao lake la 100 akiwa na Manchester City katika mchezo ulioisha sare ya…

Soma Zaidi »

Simba mguu moja makundi shirikisho

DAR ES SALAAM: Leonel Ateba ndiye aliyefufua matumaini ya Simba SC kwenda makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya kuweka…

Soma Zaidi »

Ni kivumbi majeshi vs majiji Ligi Kuu leo

MICHEZO miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara inapigwa leo Mwanza na Mbeya ikihusisha timu za majeshi dhidi ya majiji. Baada…

Soma Zaidi »

Becker hatihati kuikosa Bournemouth

MENEJA wa Liverpool, Arne Slot amesema kipa Alisson Becker huenda asiwe sehemu ya mchezo wa leo dhidi Bournemouth mchezo wa…

Soma Zaidi »

White: Miedema ataifunga Arsenal

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Uingereza, Ellen White amesema anahisi imeandikwa mbinguni kwamba nyota Vivianne Miedema ataifungia Manchester City watakapokutana na…

Soma Zaidi »

‘Siku ya kufyeka vichaka imefika’

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika(CAF) hatua ya awali, Yanga leo inashuka dimba la New Amaan…

Soma Zaidi »

Nyuki wa Tabora washindwa kung’ata

Soma Zaidi »

Bandari ya Mtwara yaandika historia

BANDARI ya Mtwara  imepokea meli yenye urefu wa mita 240 ikiwa ni meli kubwa zaidi kuwahi kutia nanga  katika historia…

Soma Zaidi »
Back to top button