Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Gofu Lina Tour yasaidia kuboresha viwanja

DAR ES SALAAM; MASHINDANO ya gofu ya Lina PG Tour yanayofanyika katika viwanja vya gofu vya klabu ya Moshi Gymkhana,…

Soma Zaidi »

Mshindi mashindano ya gofu CDF kupewa gari

DAR ES SALAAM; ZAIDI ya wachezaji 100 wa gofu wanatarajia kushiriki michuano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi ‘ NMB…

Soma Zaidi »

Liverpool yawania saini ya kinda Bundesliga

TETESI za usajili kimataifa zinasema Liverpool imeripotiwa kumfuatilia kwa karibu kiungo wa SC Freiburg inayoshiriki Ligi Kuu Ujerumani-Bundesliga, Merlin Rohl,…

Soma Zaidi »

Ni Al Ahly au Zamalek CAF Super Cup leo

MCHEZO wa CAF Super Cup kati ya Al Ahly na Zamalek zote za Misri unafanyika leo kwenye uwanja wa Kingdom…

Soma Zaidi »

Fountain Gate kuendeleza ubabe Ligi Kuu leo?

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa Manyara. Wenyeji Fountain Gate itaialika Kagera Sugar kwenye uwanja wa…

Soma Zaidi »

Mzunguko wa 2 wavu taifa kuanza Sept 27

MZUNGUKO wa Pili wa Ligi ya Mpira wa Wavu Tanzania unatarajia kuanza Septemba 27 kwa michezo 14 kupigwa kwenye viwanja…

Soma Zaidi »

Azam vs Simba: Ni kisasi ‘dabi’ ya Mzizima

ZANZIBAR: MACHO na masikio ya wapenda soka leo yataelekea visiwani Zanzibar ambako Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mcheo mmoja…

Soma Zaidi »

Mkongwe Raphael Varane astaafu soka

BEKI wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Raphael Varane amestaafu kucheza soka akiwa…

Soma Zaidi »

Ken Gold mikononi mwa Yanga Ligi Kuu leo

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo inashuka dimba la Sokoine jijini Mbeya dhidi ya Ken Gold iliyopoteza…

Soma Zaidi »

Tanzania yafuzu hatua ya pili Kriketi

TANZANIA imefuzu hatua ya pili michuano ya Afrika ya kufuzu Kombe la Dunia baada ya kuitandika Ghana kwa mikimbio 88…

Soma Zaidi »
Back to top button