Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Sh 2,350 kwa dakika anakuwa ‘girlfriend’ wako

Sh 2,350 kwa dakika anakuwa ‘girlfriend’ wako

YOUTUBER wa Marekani mwenye umri wa miaka 23, Caryn Marjorie amejiongezea umaarufu mbali ya kuwa na wafuasi zaidi ya milioni…
Mwigulu aeleza azma ya Samia kukuza kilimo

Mwigulu aeleza azma ya Samia kukuza kilimo

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amelieleza Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuimarisha kilimo cha umwagiliaji…
Ireland yatoa Sh bil.4.6 uchumi wa buluu

Ireland yatoa Sh bil.4.6 uchumi wa buluu

SERIKALI ya Ireland imetoa fedha kiasi cha Sh bil 4. 6 kwa ajili ya kusaidia serikali ya Tanzania katika juhudi…
TANECU Mtwara yatakiwa kuongeza kasi uzalishaji korosho

TANECU Mtwara yatakiwa kuongeza kasi uzalishaji korosho

CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba Newala Cooperative Union Limited (TANECU) mkoani Mtwara kimetakiwa kuongeza uzalishaji wa zao la Korosho…
Dira ya Maendeleo 2050 kuwekeza rasilimaliwatu

Dira ya Maendeleo 2050 kuwekeza rasilimaliwatu

WIZARA ya Fedha na Mipango imesema katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, taifa litawekeza nguvu kujenga na kuendeleza rasilimaliwatu.…
Faida uwekezaji mpya Tanga Cement zatajwa

Faida uwekezaji mpya Tanga Cement zatajwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa uwekezaji mpya wa zaidi ya dola za kimarekani milioni…
Mfuko wa Faida wazidi kunoga

Mfuko wa Faida wazidi kunoga

MFUKO wa Faida unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umeongeza faida kutoka Sh bilioni 12 Januari mwaka huu hadi Sh…
ATCL yarejesha safari za ndege Dar- Guangzhou

ATCL yarejesha safari za ndege Dar- Guangzhou

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia Mei 11, 2023. Kupitia…
Bashe: Taifa linajitosheleza kwa chakula

Bashe: Taifa linajitosheleza kwa chakula

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Tanzania inajitosheleza kwenye hazina ya chakula na pia baki ya kuuza nje. Ameyasema hayo…
Geita yavutia wawekezaji kutoka Dubai

Geita yavutia wawekezaji kutoka Dubai

KAMPUNI ya Isra Gold Tanzania inayomilikiwa na wawekezaji kutoka Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imefungua kituo cha kusafisha…
Back to top button