Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TACRI yajivunia utafiti zao la kahawa Kagera

TACRI yajivunia utafiti zao la kahawa Kagera

KAGERA: Taasisi ya utafiti wa zao la kahawa TACRI Kanda ya Kagera imeanza kujivunia mafanikio ya utafiti uliofanyika mwaka 2004…
“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni wa kizamani”

“Utaratibu wa kuchimbia fedha ni wa kizamani”

DODOMA: WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani badala yake watumie mabenki kuhifadhi…
Randin: Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa SDC azuru Tanzania

Randin: Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa SDC azuru Tanzania

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi na Mkuu wa Kitengo cha Kusini mwa Jangwa la Sahara wa Shirika la Maendeleo na Ushirikiano la…
VIJANA KATIKA KILIMO: Programu ya kilimo viwanda yaleta mabadiliko kupitia kilimo

VIJANA KATIKA KILIMO: Programu ya kilimo viwanda yaleta mabadiliko kupitia kilimo

Tanzania, inayojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia na urithi wake tajiri wa kitamaduni, pia ni nyumbani kwa sekta ya kilimo…
Silaa: Halmashauri rejesheni mikopo ya KKK kwa wakati

Silaa: Halmashauri rejesheni mikopo ya KKK kwa wakati

MUSOMA: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Jerry Silaa amezitaka halmashauri zote zilizokopeshwa fedha za Kupanga, Kupima…
Waanzisha mfuko maalum kujikwamua kiuchumi

Waanzisha mfuko maalum kujikwamua kiuchumi

KIKUNDI cha wadau eneo la Madale jijini Dar es Salaam, kimezindua mfuko maalum ‘Saccos’ wenye lengo la kuondoa utaratibu wa…
Andengenye aahidi Neema kwa Machinga

Andengenye aahidi Neema kwa Machinga

KIGOMA: Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kuunga mkono maelekezo ya Rais, Samia Suluhu Hassan kwa serikali za mikoa na wilaya kushirikiana na wafanyabiashara wadogo maarufu…
Kampuni uchimbaji madini yapandikiza vifaranga vya samaki

Kampuni uchimbaji madini yapandikiza vifaranga vya samaki

KAMPUNI ya Diamond Williamson Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya almas iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamepandikiza vifaranga…
Geita yavunja rekodi ulipaji kodi

Geita yavunja rekodi ulipaji kodi

GEITA: MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) mkoani Geita imefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh bilioni 55.07 kwa mwaka wa fedha 2022/23…
TRA yasisitiza matumizi sahihi risiti za EFD

TRA yasisitiza matumizi sahihi risiti za EFD

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), imewasisitiza wafanyabiashara kutambua kuwa matumizi sahihi ya Mashine za Risiti za Kielektroniki (EFD) ndio njia…
Back to top button