Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Wakwepa kodi Kagera kuundiwa kikosi maalum
December 6, 2023
Wakwepa kodi Kagera kuundiwa kikosi maalum
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amesema uongozi wa mkoa umeungana na Mamlaka ya Mapato (TRA) na taasisi nyingine…
Serikali yazungumzia ushiriki wa Tanzania mkutano Dubai
December 3, 2023
Serikali yazungumzia ushiriki wa Tanzania mkutano Dubai
DUBAI; SERIKALI ya Tanzania inashiriki Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya…
Msako wasiofuata sheria uuzaji vyakula vya mifugo waja
December 2, 2023
Msako wasiofuata sheria uuzaji vyakula vya mifugo waja
MSAKO wa kuwashughulikia wazalishaji na wauzaji wa vyakula vya mifugo wasiofuata sheria na kanuni zinazoongoza utekelezaji wa shughuli hizo kuanza.…
Kidata: Kampuni acheni biashara za magendo
December 2, 2023
Kidata: Kampuni acheni biashara za magendo
DAR ES SALAAM: KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata ameyataka makampuni na wafanyabiashara wakubwa kuepuka kufanya…
TRA yakusanya Sh bilioni 6 robo ya kwanza Kahama
December 2, 2023
TRA yakusanya Sh bilioni 6 robo ya kwanza Kahama
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa kikodi Kahama umefanikiwa kukusanya kukusanya Sh bilioni 6.59 sawa na ufanisi wa asilimia 125 kwa…
Wahasibu watakiwa kuzingatia maadili
November 30, 2023
Wahasibu watakiwa kuzingatia maadili
DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka…
Uvuvi haramu waondoka na Kaimu Mkurugenzi Uvuvi
November 28, 2023
Uvuvi haramu waondoka na Kaimu Mkurugenzi Uvuvi
DAR ES SALAAM; Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameelekeza kuondolewa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi, Stephen…
Waziri Ulega atoa maelekezo uvuvi haramu
November 28, 2023
Waziri Ulega atoa maelekezo uvuvi haramu
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Uvuvi, Profesa Mohamed Sheikh kushirikiana na vyombo vya ulinzi na…
Watakiwa kusajili bidhaa zao
November 28, 2023
Watakiwa kusajili bidhaa zao
ARUSHA; WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), amewataka wavumbuzi wa vifaa,dawa na bidhaa nyingine kuhakikisha wanasajili bidhaa zao…
Machinga watii amri ya serikali Iringa
November 28, 2023
Machinga watii amri ya serikali Iringa
ZOEZI la kuwaondoa machinga katika maeneo yasioruhusiwa mjini Iringa imeanza kuzaa matunda tangu izinduliwe rasmi Novemba 19, mwaka huu. Mitaa…