Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali yaomba muda kuimilikisha ndege atcl

Serikali yaomba muda kuimilikisha ndege atcl

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George Simbachawene amesema serikali inaomba ipewe muda kufanyia kazi…
Mageuzi yaja usimamizi kwa mashirika ya umma

Mageuzi yaja usimamizi kwa mashirika ya umma

MSAJILI wa Hazina, Nehemia Mchechu ametangaza mageuzi katika ofisi yake, taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali ili kuongeza…
Marufuku tumbaku kuuzwa kampuni zisizo na leseni

Marufuku tumbaku kuuzwa kampuni zisizo na leseni

BODI ya Tumbaku Tanzania (TTB), imewaagiza wakulima wa tumbaku katika maeneo yote yanayozalisha zao hilo nchini kutouza zao hilo la…
Taasisi, mashirika yatakiwa kupunguza utegemezi

Taasisi, mashirika yatakiwa kupunguza utegemezi

TAASISI na mashirika ya umma yanayojiendesha kibiashara yametakiwa kuhakikisha yanajiendesha yenyewe kwa faida wanazozipata, lengo likiwa kupunguza utegemezi kutoka serikalini.…
CAG ataja mashirika yenye mitaji hasi  

CAG ataja mashirika yenye mitaji hasi  

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22 katika eneo la utendaji wa kifedha…
Tigo, Samsung wafanya jambo magulio ya simu

Tigo, Samsung wafanya jambo magulio ya simu

MAGULIO ya simu yametoa ahuweni kwa wananchi ambao wamenunua simu kwa kulipia kidogo kdiogo kupitia program maalum iliyowekwa na Samsung…
Serikali yataka TRA kuheshimu sheria

Serikali yataka TRA kuheshimu sheria

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande, ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuheshimu sheria ya kodi na…
Mchango sekta ya madini wapaa

Mchango sekta ya madini wapaa

WAZIRI wa Madini, Dk Doto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini unazidi kuongezeka na hadi mwaka 2025 wanatarajia kuvuka…
Samia: Tanzania ni tajiri wa madini

Samia: Tanzania ni tajiri wa madini

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri wa madini hivyo anataka umakini kuchagua washirika wa kuvuna fursa ya utajiri…
Mwekezaji Singida alia na mgogoro uliodumu miaka 28

Mwekezaji Singida alia na mgogoro uliodumu miaka 28

MWEKEZAJI mzawa Leonard Suih, aliyejenga majengo ya biashara ya kitega uchumi yenye thamani ya Shilingi milioni 700 mkoani Singida, amemuomba…
Back to top button