Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Katavi kujitegemea maonesho ya Nanenane 2024
November 11, 2023
Katavi kujitegemea maonesho ya Nanenane 2024
KATAVI: Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu ameagiza kuundwa kwa kamati maalumu itakayoratibu mchakato wa maandalizi ya…
Tanzania Kisiwa cha fursa, wawekezaji waimezea mate
November 11, 2023
Tanzania Kisiwa cha fursa, wawekezaji waimezea mate
MISRI: WAWEKEZAJI wa Kampuni ya Elsewedy Electric kutoka nchini Misri wamesema uwepo wa sera nzuri ya uwekezaji na ushirikiano mkubwa…
Tamasha na FinTech kuibua fursa za uwekezaji
November 9, 2023
Tamasha na FinTech kuibua fursa za uwekezaji
DAR ES SALAAM: TAMASHA la Teknolojia ya Fedha FinTech linatarajiwa kuibua fursa mbalimbali na kuimarisha mifumo mbalimbali ya kiteknolojia nchini…
Wapigaji fedha za miradi kukiona
November 9, 2023
Wapigaji fedha za miradi kukiona
ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amekemea tabia ya wahandisi kuletewa fedha za miradi kutoka serikalini na badala…
“Tafuteni masoko ya nje ,mtajionea wenyewe”
November 7, 2023
“Tafuteni masoko ya nje ,mtajionea wenyewe”
DAR ES SALAAM: Serikali kupitia kituo cha uwekezaji Nchini (TIC) kimewataka wazalishaji wa ndani kujikita katika tafiti za masoko ya…
JWT: Lipeni kodi kwa wakati
November 7, 2023
JWT: Lipeni kodi kwa wakati
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Taifa (JWT), Hamis Livembe amewataka wafanyabishara nchini kulipa kodi kwa hiari kwa maslahi mapana ya…
Wafanyabiashara wa maduka Kisarawe walia na Machinga
November 7, 2023
Wafanyabiashara wa maduka Kisarawe walia na Machinga
WAFANYABIASHARA wa maduka Wilaya Kisarawe wameomba kuondolewa kwa Machinga wanaopanga biashara mbele ya maduka yao na kusababisha wao kukosa wateja.…
Mvua zakimbiza samaki
November 5, 2023
Mvua zakimbiza samaki
SAMAKI aina ya dagaa mchele na saladini wameadimika katika soko la Kimataifa la Samaki Feri mkoani Dar es Salaam na…
Watumishi TRA Shinyanga wafundwa maadili bora
November 4, 2023
Watumishi TRA Shinyanga wafundwa maadili bora
WATUMISHI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuwa na maadili, kuficha siri, kuwa na matumizi bora…
‘Kuna pengo kubwa viongozi na wananchi’
November 3, 2023
‘Kuna pengo kubwa viongozi na wananchi’
MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema, lipo pengo kubwa kati ya viongozi…