Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Benki ya Dunia yaisifu Tanzania usimamizi uchumi

Benki ya Dunia yaisifu Tanzania usimamizi uchumi

BENKI ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye…
Mambo yaiva ujenzi SGR Tanzania, Burundi

Mambo yaiva ujenzi SGR Tanzania, Burundi

MCHAKATO wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tanzania hadi Burundi umeanza kufuatia kutangazwa kwa zabuni ya ujenzi wa…
Samia agusa wengi hatua ripoti CAG

Samia agusa wengi hatua ripoti CAG

VYAMA vya siasa, wachumi na wananchi ndani na nje ya nchi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kuchukua hatua…
Kweleakwelea waharibu mashamba ya wakulima

Kweleakwelea waharibu mashamba ya wakulima

TAKRIBANI heka 1,600 za mashamba ya mpunga Kata ya Kagu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa, zipo hatarini kushambuliwa…
‘Waidhinishaji akaunti 12 TPA si wafanyakazi’

‘Waidhinishaji akaunti 12 TPA si wafanyakazi’

UKAGUZI  uliofanywa na Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG),  umebaini hadi kufikia Juni 30, 2022 Mamlaka ya…
Vijana wafundwa uboreshaji wa bidhaa

Vijana wafundwa uboreshaji wa bidhaa

VIJANA wabunifu wameagizwa kutengeneza bidhaa zenye mahitaji sokoni ili kuwa na ubora zaidi utakaowawezesha kupata masoko na kujiajiri Agizo hilo…
Sh milioni 200 zatengwa majukwaa ya wanawake

Sh milioni 200 zatengwa majukwaa ya wanawake

KWA mwaka 2023/24, Serikali imetenga Sh milioni 200 kwa ajili ya kugharamia majukwa ya wananake. Haya yameelezwa jijini Dodoma na…
Ziara Makamu wa Rais Marekani yaleta neema

Ziara Makamu wa Rais Marekani yaleta neema

SERIKALI ya Marekani imeahidi kujenga kiwanda  kikubwa nchini Tanzania cha kuchakata madini aina ya nickel yatakayotumika kutengeneza betri za gari…
CAG abaini mikopo ya Sh Bil 88 haikukusanywa

CAG abaini mikopo ya Sh Bil 88 haikukusanywa

MAMLAKA za Serikali za Mitaa hazikuweza kukusanya mikopo iliyotolewa kwenye vikundi vya Wanawake, Vijana, na Watu wenye Ulemavu, yenye jumla…
Bei za petroli, dizeli zapungua

Bei za petroli, dizeli zapungua

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta…
Back to top button