Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
‘Fikisheni umeme kwa mwekezaji’
February 28, 2023
‘Fikisheni umeme kwa mwekezaji’
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ,ametoa mwezi mmoja kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),mkoani Singida kufikisha umeme…
Utalii wachangia asilimia 30 pato la taifa Zanzibar
February 25, 2023
Utalii wachangia asilimia 30 pato la taifa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemueleza Rais wa Benki ya Maendeleo ya…
Watakiwa kuongeza ubunifu kuzifikia fursa
February 23, 2023
Watakiwa kuongeza ubunifu kuzifikia fursa
SERIKALI imewataka wajasiriamali wa bidhaa nchini kuelekeza nguvu zao katika ubunifu wa kidigitali ili kuweza kuzifikia fursa mbalimbali zenye kuongeza…
Dk Mpango akaribisha wawekezaji EU
February 23, 2023
Dk Mpango akaribisha wawekezaji EU
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewakaribisha wawekezaji kutoka Umoja wa Ulaya (EU), kuwekeza nchini na kusema Tanzania imedhamiria kuvutia…
Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa
February 23, 2023
Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa
KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Mussa amewataka wakurugenzi wa Halmshauri mkoani Arusha kubaini makundi au vikundi yanayojihusisha na uzalishaji…
‘Tunairejesha Tanga ya viwanda’
February 23, 2023
‘Tunairejesha Tanga ya viwanda’
Serikali mkoani Tanga, imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kwenye fursa za viwanda, ili kuirejesha Tanga ya viwanda.…
Watakiwa kupata elimu kabla ya kukopa
February 15, 2023
Watakiwa kupata elimu kabla ya kukopa
WANANCHI hususani wanawake wametakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya kukimbilia kukopa na kuishia kupata matatizo mbali mbali kutokana na…
India kuanzisha chuo cha Tehama Tanzania
February 15, 2023
India kuanzisha chuo cha Tehama Tanzania
SERIKALI ya India inatarajia kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini Tanzania, ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari…
Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini
February 15, 2023
Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini
Ujumbe wa Mfuko wa Uwekezaji wa China na Afrika (CADFUND) unatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania mnamo Aprili, 2023. Ahadi hiyo…
Mtwara waanza maandalizi uzinduzi wa Mwenge
February 15, 2023
Mtwara waanza maandalizi uzinduzi wa Mwenge
MKOA wa Mtwara unatarajia kufanya mkutano wa watoa huduma za kijamii wakiwemo wafanyabiashara, ili waweze kutoa maelekezo namna watakavyoshiriki katika…