Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Wajasiriamali watakiwa kutambua umuhimu wa bima
October 12, 2022
Wajasiriamali watakiwa kutambua umuhimu wa bima
WAJASIRIAMALI wametakiwa kutambua umuhimu wa bima na kuwa na bima za biashara, ili wanapopatwa na majanga mbalimbali yakiwemo moto, kuharibikiwa…
Wakandarasi wazawa watakiwa kuomba tenda
October 12, 2022
Wakandarasi wazawa watakiwa kuomba tenda
LICHA ya serikali kutenga miradi maalum kwa ajili ya wakandarasi wazawa katika ujenzi na maboresho ya barabara mikoani, wakandarasi wazawa…
Nchi 11 zakutana Dar mikakati ya uzalishaji
October 12, 2022
Nchi 11 zakutana Dar mikakati ya uzalishaji
NCHI 11 zinakutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati imara inayotekelezwa kupitia sera mbalimbali za kisekta za uzalishaji, ili zizalishe…
NMB yatoa mabati 400 vituo vya afya Tandahimba
October 11, 2022
NMB yatoa mabati 400 vituo vya afya Tandahimba
BENKI ya NMB imetoa msaada wa mabati 400 katika vituo viwili vya afya, vilivyopo wilayani Tandahimba uliogharimu Sh 17,200,000. Msaada…
Samia, Ruto wakubaliana mambo 10
October 11, 2022
Samia, Ruto wakubaliana mambo 10
RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya, Dk William Ruto wamewaagiza mawaziri wao kuhakikisha ifikapo Desemba mwaka huu, wawe…
Kenya matumaini makubwa bomba la gesi Dar-Mombasa
October 10, 2022
Kenya matumaini makubwa bomba la gesi Dar-Mombasa
KENYA inakusudia kuendelea na ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania, hadi mji wake wa…
Sh tri.121 zaokolewa matumizi gesi asilia
October 10, 2022
Sh tri.121 zaokolewa matumizi gesi asilia
SERIKALI imeokoa kiasi cha shilingi trilioni 121, sawa na dola za Marekani bilioni 52 tangu kuanza kutumia nishati ya gesi…
Nape aitaka Posta kuongeza ubunifu kwenye biashara
October 10, 2022
Nape aitaka Posta kuongeza ubunifu kwenye biashara
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza viongozi na watumishi wa Shirika la Posta Tanzania waongeze…
Serikali kutathmini gharama ya vyakula sokoni
October 9, 2022
Serikali kutathmini gharama ya vyakula sokoni
SERIKALI imeweka wazi kuwa inatambua mwenendo wa gharama ya chakula sokoni na hivyo inaendelea kufanya tathmini kupata uhalisia wa kiwango…
Taasisi za serikali zabanwa ukusanyaji mapato
October 9, 2022
Taasisi za serikali zabanwa ukusanyaji mapato
SERIKALI imezitaka wizara, idara zinazojitegemea na taasisi za serikali zinazokusanya mapato yasiyo ya kodi, kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato…