Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa
February 23, 2023
Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa
KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Mussa amewataka wakurugenzi wa Halmshauri mkoani Arusha kubaini makundi au vikundi yanayojihusisha na uzalishaji…
‘Tunairejesha Tanga ya viwanda’
February 23, 2023
‘Tunairejesha Tanga ya viwanda’
Serikali mkoani Tanga, imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kwenye fursa za viwanda, ili kuirejesha Tanga ya viwanda.…
Watakiwa kupata elimu kabla ya kukopa
February 15, 2023
Watakiwa kupata elimu kabla ya kukopa
WANANCHI hususani wanawake wametakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya kukimbilia kukopa na kuishia kupata matatizo mbali mbali kutokana na…
India kuanzisha chuo cha Tehama Tanzania
February 15, 2023
India kuanzisha chuo cha Tehama Tanzania
SERIKALI ya India inatarajia kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini Tanzania, ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari…
Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini
February 15, 2023
Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini
Ujumbe wa Mfuko wa Uwekezaji wa China na Afrika (CADFUND) unatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania mnamo Aprili, 2023. Ahadi hiyo…
Mtwara waanza maandalizi uzinduzi wa Mwenge
February 15, 2023
Mtwara waanza maandalizi uzinduzi wa Mwenge
MKOA wa Mtwara unatarajia kufanya mkutano wa watoa huduma za kijamii wakiwemo wafanyabiashara, ili waweze kutoa maelekezo namna watakavyoshiriki katika…
Ukerewe wapania maendeleo bajeti 2023/24
February 15, 2023
Ukerewe wapania maendeleo bajeti 2023/24
BARAZA la Madiwani wilayani Ukerewe, limepitisha bajeti ya Sh billion 4.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku utekelezaji wa bajeti…
Samia awa mbogo rushwa miradi ya maendeleo
February 15, 2023
Samia awa mbogo rushwa miradi ya maendeleo
RAIS Samia Suluhu Hassan ameonya wakwamishaji wa miradi ya maendeleo ikiwamo ya umeme kwa kuendekeza rushwa, undugu na urasimu usiokuwa…
Mv Mwanza kuongeza tija SGR
February 13, 2023
Mv Mwanza kuongeza tija SGR
WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imesema serikali iliamua kujenga meli kubwa katika Ziwa Victoria ili kukidhi mahitaji ya soko yanayotarajiwa…
Udahili Bahari waongezeka
February 10, 2023
Udahili Bahari waongezeka
CHUO cha Bahari cha Dar es salaam (DMI) kimeongeza udahili kutoka wanafunzi 5,563 wa mwaka 2013/2014 hadi 9,034 kwa mwaka…