Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Zanzibar mwenyeji Mkutano wa 20 wa Benki ya Dunia
October 27, 2023
Zanzibar mwenyeji Mkutano wa 20 wa Benki ya Dunia
ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya…
Waziri aeleza faida malipo kwa mtandao
October 27, 2023
Waziri aeleza faida malipo kwa mtandao
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Saada Mkuya Salum amesema kuzinduliwa kwa mfumo wa kufanya…
Dk Biteko atoa maagizo kumaliza kuadimika kwa Dola
October 27, 2023
Dk Biteko atoa maagizo kumaliza kuadimika kwa Dola
DAR ES SALAAM: KUADIMIKA kwa dola ya Kimarekani nchini, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameagiza…
Wamshukuru Rais Samia kuwajengea mferejei kuzuia mafuriko
October 27, 2023
Wamshukuru Rais Samia kuwajengea mferejei kuzuia mafuriko
ZAIDI ya wakulima 370 wa mahindi, maharage na mbogamboga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea mfereji na tuta kuzuia…
TRA yataka wafanyabiashara wasiogope kodi
October 26, 2023
TRA yataka wafanyabiashara wasiogope kodi
GEITA; MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Geita, imewataka wafanyabishara kufanya biashara zao bila woga wa sheria ya kodi,…
Samia: Tanzania, Zambia zisishindane, ziwezeshane
October 26, 2023
Samia: Tanzania, Zambia zisishindane, ziwezeshane
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Zambia zisishindane ila ziwezeshane kibiashara ili kujikomboa kiuchumi. Pia Rais Samia ameunga mkono…
Dk Mwinyi awapa raha wafanyabiashara wadogo
October 25, 2023
Dk Mwinyi awapa raha wafanyabiashara wadogo
ZANZIBAR; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ametekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati wa…
Msitumie madalali maduka ya kubadili fedha
October 25, 2023
Msitumie madalali maduka ya kubadili fedha
KAGERA; Bukoba. Wafanyabiashara ambao wanaomba lesseni za kufungua maduka ya kubadilisha fedha za kigeni Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wametakiwa…
“Ongezeni jitihada kuwafikia wafanyabiashara wadogo”
October 25, 2023
“Ongezeni jitihada kuwafikia wafanyabiashara wadogo”
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), imeagizwa kuwafikia wafanyabiashara ambao hawajarasimishwa ili kusajili biashara zao kwa lengo la…
Taasisi kukwamua wakulima kiuchumi zao la maharage, alizeti
October 25, 2023
Taasisi kukwamua wakulima kiuchumi zao la maharage, alizeti
TAASISI ya Kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Nchini (AMDT) imejidhatiti katika kuiunga mkono serikali kuwakwamua wakulima kiuchumi wa maharage…