Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali kumaliza kero ya umeme migodini

GEITA: Serikali imeanza kutekeleza mradi maalum wa kupeleka umeme maeneo ya wachimbaji wadogo ili kuwapunguzia gharama za uzalishaji na kuchagiza…

Soma Zaidi »

TPDC: Uzalishaji gesi Mnazi Bay unaendelea

MTWARA; SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limekanusha taarifa kuwa visima vitano vya kuzalisha gesi asilia katika Kitalu cha…

Soma Zaidi »

Maabara ya MSA kivutio upimaji madini

GEITA; ZAIDI ya sh bilioni 5 za Kitanzania zimewekezwa katika maabara ya MSA inayopima sampuli za madini kwa kiwango cha…

Soma Zaidi »

Waziri Mavunde awapa neno wadau wa madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inasimamia kwa ufanisi kampuni zote za uwekezaji kwenye sekta ya madini ziweze…

Soma Zaidi »

Mkakati mpya wa Mantra kuinua uchumi, kugusa jamii Namtumbo

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya urani imeahidi kusaidia maendeleo ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma kupitia sera yake ya…

Soma Zaidi »

GGR kuleta mabadiliko katika uongezaji thamani madini

GEITA: KIWANDA cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko…

Soma Zaidi »

BOT kuwawezesha mitaji wachimbaji Madini

GEITA, Bukombe: BENKI Kuu ya ya Tanzania (BOT) inatarajia kuwawezesha mitaji wachimba madini nchini ili kuongeza uzalishaji wa dhahabu ambayo…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu aitaka PURA kuharakisha mchakato kunadi vitalu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuharakisha mchakato wa kunadi vitalu vya…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tanzania kuwa wazalishaji wakubwa wa Nishati

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania…

Soma Zaidi »

Chalamila: Dar hakuna uhaba wa mafuta

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema mafuta yapo ya kutosha katika mkoa huo.…

Soma Zaidi »
Back to top button