Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania yajipanga kufanikisha jukwaa la kimataifa AGRF-2023

Tanzania yajipanga kufanikisha jukwaa la kimataifa AGRF-2023

IKIWA na lengo la kuwa kitovu cha uhakika wa chakula kimataifa, Tanzania inayosifika kwa uzalishaji wa chakula katika eneo la…
TRA yaonya wafanyabiashara wadanganyifu

TRA yaonya wafanyabiashara wadanganyifu

MAMLAKA ya Mapato (TRA) Mkoa wa Katavi, imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara watakaobainika kufanya udanganyifu kwa kutoa risiti za…
TPA yakana urasimu utoaji huduma bandarini

TPA yakana urasimu utoaji huduma bandarini

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa katika bandari nchini umeongeza ufanisi wa uwezo wa kupakua shehena…
Majaliwa kuzungumza na wafanyabiashara Kariakoo 

Majaliwa kuzungumza na wafanyabiashara Kariakoo 

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Mei 17, 2023 kwa ajili ya…
Sakata la mgomo Kariakoo laibukia bungeni

Sakata la mgomo Kariakoo laibukia bungeni

SAKATA la mgomo wa wafanyabiashara ulioanza leo asubuhi katika soko la Kariakoo umeliteka Bunge, jijini Dodoma huku wabunge wakitaka serikali…
China kuitumia Tanzania kuzalisha bidhaa za ngozi

China kuitumia Tanzania kuzalisha bidhaa za ngozi

KAMPUNI ya kuzalisha bidhaa za ngozi vikiwemo viatu ya Huajian Group ya China inajipanga kuja kuwekeza nchini kuanzia mwaka huu.…
Watanzania mil.8.5 kufikiwa mawasiliano

Watanzania mil.8.5 kufikiwa mawasiliano

MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba amesema Watanzania milioni 8.5 watafikiwa na huduma za mawasiliano…
Waajiri wanaokwepa mikataba kukiona

Waajiri wanaokwepa mikataba kukiona

KATIKA kudhibiti waajiri wanaonyanyasa na kuwadhulumu wafanyakazi kwa kukwepa kuwapa mikataba na kuwatumia kama vibarua, serikali imetangaza kuanza ukaguzi wa…
TARURA wafanya kweli barabara Musoma-Bunda

TARURA wafanya kweli barabara Musoma-Bunda

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Mara inajenga Barabara yenye Kilomita 11, ambayo inaunganisha Wilaya za Musoma…
Wakulima wa korosho watakiwa kuongeza mazao

Wakulima wa korosho watakiwa kuongeza mazao

WAKULIMA wa Korosho mkoani Mtwara wametakiwa kuhakikisha wanalima mazao mengi zaidi ili ikitokea changamoto ya mavuno kwenye korosho kuwe na…
Back to top button