Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Majaliwa: Fanyeni biashara kwa kujiamini, weledi

Majaliwa: Fanyeni biashara kwa kujiamini, weledi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa kujiamini, weledi na uzalendo huku wakizingatia kanuni, sheria na taratibu…
Lissu ashauri mfumo wa kodi uboreshwe

Lissu ashauri mfumo wa kodi uboreshwe

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema kuna haja ya kuboresha mfumo wa ukusanyaji wa…
Watafiti, wafanyabiashara wakaribishwa TSN

Watafiti, wafanyabiashara wakaribishwa TSN

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewakaribisha watafiti, wafanyabiashara na wananchi kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali za…
TRA yamshukuru Samia kwa kuwawezesha kukusanya tril 24/-

TRA yamshukuru Samia kwa kuwawezesha kukusanya tril 24/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa taasisi hiyo kukusanya mapato ya Sh trilioni…
Dk Mpango ataka huduma za kibenki vijijini

Dk Mpango ataka huduma za kibenki vijijini

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amezitaka benki nchini kupeleka huduma zao maeneo ya vijijini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma…
Majaliwa: Tutaendelea kuboresha uwekezaji

Majaliwa: Tutaendelea kuboresha uwekezaji

SERIKALI imesema itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kutekeleza ahadi katika ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya…
Dk Mwinyi aahidi kusaidia wawekezaji wenye changamoto

Dk Mwinyi aahidi kusaidia wawekezaji wenye changamoto

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema atawasaidia wawekezaji wanaokumbana na vikwazo na changamoto mbalimbali. Aliyasema hayo jana alipozungumza…
Kariakoo yavunja rekodi makusanyo kodi

Kariakoo yavunja rekodi makusanyo kodi

MKOA wa kikodi wa Kariakoo umevunja rekodi kwa kukusanya Sh bilioni 40.8 sawa na asilimia 102 kwa mwaka. Hayo yamesemwa…
Dk Mwinyi akutana na wawekezaji China

Dk Mwinyi akutana na wawekezaji China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameendelea kuhimiza wawekezaji wa China kuangalia fursa…
Vyuo vyatakiwa kujenga ukaribu na wenye viwanda

Vyuo vyatakiwa kujenga ukaribu na wenye viwanda

VYUO Vikuu nchini vimetakiwa kujenga uhusiano na waajiri pamoja na wenye viwanda nchini, ili kuwezesha wahitimu wanapomaliza masomo yao waweze…
Back to top button