Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Morogoro kuwekwa mazingira wezeshi uwekezaji

Morogoro kuwekwa mazingira wezeshi uwekezaji

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima  amewataka wadau wa sekta ya biashara na uchumi kushikamana katika kuweka mazingira wezeshi…
Wanasiasa, wachumi Zanzibar wasifu bajeti

Wanasiasa, wachumi Zanzibar wasifu bajeti

WANASIASA na wachumi wa sekta ya fedha zikiwemo benki, wameipongeza bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambayo inakwenda…
BoT kuhuisha Mfuko wa Dhamana uuzaji bidhaa nje

BoT kuhuisha Mfuko wa Dhamana uuzaji bidhaa nje

WIZARA ya Fedha na Mipango imesema serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itahuisha Mfuko wa Dhamana kwa wakopaji wanaozalisha…
Zimbabwe kusitisha mikopo fedha za kigeni

Zimbabwe kusitisha mikopo fedha za kigeni

RAIS wa Zimbabwe,  Emmerson Mnangagwa ameamuru Benki Kuu nchini humo kusitisha kukopa fedha za kigeni kutoka vyanzo vya nje, hatua…
Pato la kila mtanzania ni sh milioni 2.8 kwa mwaka

Pato la kila mtanzania ni sh milioni 2.8 kwa mwaka

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa pato la Taifa kwa mtu kwa maana kila mtanzania kwa…
Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu

Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu

SERIKALI imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.…
Ushuru wa Shisha, Sigara wapaa

Ushuru wa Shisha, Sigara wapaa

SERIKALI imekusudia kutoza ushuru wa bidhaa ya Sigara na Shisha kwa asilimia 30. Katika bajeti ya serikali iliyowasilishwa jana na…
Tozo miamala ya simu kufutwa

Tozo miamala ya simu kufutwa

SERIKALI imekusudia kufuta tozo kwa siku kwa kila laini ya simuk kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili…
Bajeti ya Rwanda yafikia sh trilioni 9.5

Bajeti ya Rwanda yafikia sh trilioni 9.5

SERIKALI ya Rwanda inakusudia kukusanya na kutumia kiasi cha faranga za Rwanda trilioni 5.03 (TSh trilioni 9.5) katika mwaka wa…
Bajeti ya Kenya sh trilioni 63.2

Bajeti ya Kenya sh trilioni 63.2

SERIKALI ya Rais William Ruto imewasilisha bajeti yake ya kwanza ya Sh trilioni 3.7 za kenya (TSh trilioni 63.2) ikipania…
Back to top button