Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Uhaba wa vitunguu wapaisha bei
July 21, 2023
Uhaba wa vitunguu wapaisha bei
UHABA wa vitunguu katika soko la Ilala jijini Dar es Salaam, umesababisha bei ya vitunguu kuwa juu na kufikia kati…
‘Msiwazie ajira ni TRA pekee’
July 20, 2023
‘Msiwazie ajira ni TRA pekee’
CHUO cha Kodi kimewataka vijana wanaosoma chuoni hapo kuondoa dhana kuwa sehemu pekee wanayoweza kupata ajira ni Mamlaka ya Mapato…
Nyanya bwerere sokoni Ilala
July 20, 2023
Nyanya bwerere sokoni Ilala
KWA mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha…
Kampuni yalipa wakulima wa tumbaku bilioni 180/-
July 20, 2023
Kampuni yalipa wakulima wa tumbaku bilioni 180/-
KAMPUNI ya Alliance One Tobacco Tanzania Limited (AOTTL), imesema hadi sasa imewalipa wakulima wa tumbaku Dola za Marekani milioni 71.9…
Prof Kitila, Chongolo, Ummy watoa somo uwekezaji bandari
July 20, 2023
Prof Kitila, Chongolo, Ummy watoa somo uwekezaji bandari
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema suala la uwekezaji kwenye bandari si la Rais Samia Suluhu Hassan, lipo kwenye Ilani ya…
Jiji lajipanga uzalishaji majongoo bahari, kaa
July 19, 2023
Jiji lajipanga uzalishaji majongoo bahari, kaa
JIJI la Tanga limejipanga kuwa kinara katika uzalishaji wa majongoo bahari, unenepeshaji wa kaa pamoja na kilimo cha mwani nchini…
Rais Samia akaribisha wawekezaji Hungary
July 18, 2023
Rais Samia akaribisha wawekezaji Hungary
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekubalina na Rais wa Hungary, Katalin Novak wawekezaji kutoka Hungary kuwekeza katika miradi…
Uwekezaji njia nyeupe
July 17, 2023
Uwekezaji njia nyeupe
WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya.…
‘DP World haitakuwa na mamlaka kupunguza wafanyakazi’
July 14, 2023
‘DP World haitakuwa na mamlaka kupunguza wafanyakazi’
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Hamza Johari, ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Majadiliano kuhusu mwekezaji mpya kwenye…
Rais Samia: Msiogope kushirikiana na wakosoaji
July 14, 2023
Rais Samia: Msiogope kushirikiana na wakosoaji
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi mbalimbali kushirikiana na wadau wanaohisi wana mchango mzuri kwenye maendeleo ya taasisi zao. –…