Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tigo yajivunia mikopo kwa wakulima

Tigo yajivunia mikopo kwa wakulima

KAMPUNI ya Tigo inayosaidia kuleta mageuzi ya kidijitali nchini, leo imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja huku ikijivunia…
Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini leo Septemba 30, 2023 limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao…
Madereva wakumbushwa kufuata sheria Arusha

Madereva wakumbushwa kufuata sheria Arusha

WAMILIKI wa vyombo vya usafirishaji jijini Arusha, daladala na bajaji wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na serikali katika usafirishaji…
TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi…
TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato

TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato

HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro imeanza kazi ya kuwatambua wafanyabiashara wake wote ili wasajiliwe kwenye mfumo mpya wa…
Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

DSM; KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah,  amesema Ofisa yeyote wa Serikali  atakayekwamisha ufanyaji biashara,…
Kihenzile: Wanaokwamisha Miradi kukiona

Kihenzile: Wanaokwamisha Miradi kukiona

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali haitofumbia macho Sekta yoyote itayokuwa kikwazo kwa wawekezaji katika…
Nkasi wakabidhiwa boti 4 za doria

Nkasi wakabidhiwa boti 4 za doria

RUKWA; Nkasi.Mradi shirikishi wa ulinzi wa rasilimali za uvuvi Ziwa Tanganyika unaotekelezwa na Taasisi ya TNC umekabidhi kwa serikali ya…
Serikali kukabiliana na kupanda kwa bei za vyakula

Serikali kukabiliana na kupanda kwa bei za vyakula

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeanza kuchukua hatua kukabiliana na upandaji wa bei za vyakula hasa…
Waajiri watajwa, kukwama kwa baadhi ya mipango NSSF

Waajiri watajwa, kukwama kwa baadhi ya mipango NSSF

DAR ES SALAAM: UKIUKWAJI wa taratibu na kanuni za usajili wa wanachama na uwasilishaji wa michango yao kutoka kwa waajiri…
Back to top button