Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wawili wafariki, 28 wakinusurika Mgodini

GEITA: Watu  wawili wamefariki dunia huku wengine 28 wakinusurika baada ya watu 30 waliovamia eneo la mgodi uliozuiliwa kijiji cha…

Soma Zaidi »

Majaliwa akaribisha wawekezaji sekta ya madini

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Kassim Majaliwa amekutana na ujumbe kutoka Korea Kusini uliojumuisha viongozi wa makampuni…

Soma Zaidi »

Mchango wa madini maduhuli ya serikali waongezeka

TUME ya Madini katika mwaka 2022/2023 imepata mafanikio makubwa yakiwemo ya kukusanya maduhuli ya serikali ya Sh bilioni 678.04 kutoka…

Soma Zaidi »

Wadau sekta ya madini wafundwa safari ya China

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ameutaka ujumbe wadau sekta ya madini wanaotarajia kuelekea nchini China kuhakikisha safari hiyo…

Soma Zaidi »

Dk Biteko aagiza Williamson Diamond kuanza uzalishaji

WAZIRI  wa  Madini, Dk Doto Biteko ametaka  uongozi wa   Kampuni ya Williamson Diamond  LTD  inayochimba  madini ya almasi iliyopo Mwadui…

Soma Zaidi »

‘Tujipange viwanda vya bidhaa zinazotokana na madini’

TANZANIA inapaswa kuwa na viwanda vinavyotengeneza bidhaa zinazotokana na madini, ili kuchochea ukuaji wa pato la taifa. Kamishna Msaidizi wa…

Soma Zaidi »

Wasiozingatia mipaka uchimbaji madini kukiona

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ameufungua mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na mwekezaji mzawa, Godfrey Bitesigirwe uliopo kijiji cha…

Soma Zaidi »

Wizara yasitisha uchimbaji madini Kwandege

WIZARA  ya Madini kupitia Ofiisa Mfawidhi wa Madini Mkoa wa Tanga, Zabibu Napacho imesitisha shughuli za uchimbaji dhahabu katika kijiji…

Soma Zaidi »

Rubi ya Afrika yavunja rekodi mauzo New York

MADINI aina ya Ruby kutoka Msumbiji yamevunja rekodi katika historia ya mnada wa madini ya vito wa New York, nchini…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini kuanzisha benki yao

WACHIMBAJI wa madini nchini wamekusanya zaidi ya Sh bilioni 2.8 kwa ajili ya kuanzisha benki yao itakayowawezesha kuwapa mitaji ya kuchimba…

Soma Zaidi »
Back to top button